Uchaguzi utafanyika katika Mitaa yote 564 ya Jiji la Dar ikiwa na Mgawanyo wa Wilaya ya Ilala Mitaa 159, Kinondoni Mitaa 106, Temeke Mitaa 142, Kigamboni Mitaa 67, Ubungo Mitaa 90.
Hatua zinazoendelea ni pamoja na Maandalizi ya Vifaa vya Uchaguzi, Uhakiki wa Vituo vya kuandikishia Wapiga kura, na Uelimishaji umma juu ya Uchaguzi huo.
Kufanyika peke yake haitoshi, uwe huru na haki, kuiba mpaka serikali za mitaa ni ujinga, na kutumia kodi za watanzania kwenye jambo wanalojua wataishia kuiba kura ni ujinga zaidi.