RC Chalamila: Wana DSM mnaagizwa kuwa na Moyo wa Upendo na Ukarimu Kwa Wageni wetu, Mkutano utarushwa na TV zote mubashara!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewaomba wananchi wa Dar kuwa wakarimu Kwa wageni wetu

RC Chalamila amesema Wingi wa police mitaani ni katika kuimarisha Ulinzi lakini wananchi wasiwe na wasiwasi

Mkutano utarushwa mubashara na tv zote nchini

Ahsanteni sana 😄
 
Aanze yeye Chalamila kuwa na moyo wa upendo na ukarimu kwa wanawake wenye mimba wanaotakiwa kujifungua, sisi sio wanafiki!
 
Ukarimu wa kweli huanzia nyumbani, kuwa mkarimu kwa wageni huku nyumbani unafanya unyama ni unafiki🐼
 
Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewaomba wananchi wa Dar kuwa wakarimu Kwa wageni wetu

RC Chalamila amesema Wingi wa police mitaani ni katika kuimarisha Ulinzi lakini wananchi wasiwe na wasiwasi

Mkutano utarushwa mubashara na tv zote nchini

Ahsanteni sana 😄
Aachwne na kauli za ajab ajab. Hazifai haswa kwa kiongozi wa mkoa
 
Back
Top Bottom