johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Duh.........😎Mkuu wa Mkoa wa DSM Dr Albert Chalamila amewataka Wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao
Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu chochote wanapokwenda shule na sasa Wavulana hao Watatu Wote wamethibitika kuwa ni Mashoga
Source Jambo TV
Jumaa Mubarak
Kuna mada hapa niliweka nikaishia kushambuliwa kuwa na support mashoga ila hawa kuelewa nilicho kuwa naelezaMkuu wa Mkoa wa DSM Dr Albert Chalamila amewataka Wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao
Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu chochote wanapokwenda shule na sasa Wavulana hao Watatu Wote wamethibitika kuwa ni Mashoga
Source Jambo TV
Jumaa Mubarak
Huo ni ujinga!Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao.
Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu chochote wanapokwenda shule na sasa Wavulana hao Watatu Wote wamethibitika kuwa ni Mashoga
Source: Jambo TV
Yupo sahihi
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao.

Ni Shoga TU ndie anaeweza kujua signal za Mashoga wenzie nachelewa kusema Chalamila na yeye apimwe Malinda
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wazazi mkoani humo kuacha mizaha na watoto wao.
Chalamila ametoa mfano wa mama mmoja mwenye watoto Watatu wa kiume ambao alikuwa hawapi kitu chochote wanapokwenda shule na sasa Wavulana hao Watatu Wote wamethibitika kuwa ni Mashoga
Source: Jambo TV
Baada akomae vijana hawana Ajira jinsi gani awatengenezee channel za kupata mikopo anaanza kukomaa na ushoga maana yake na yeye ni Shoga apimwe Malinda kwanzaDaslam mna RC jinga haijawahi tokea