RC Geita awaamuru watendaji wa GGML kutoka nje ya kikao kwa kutotoa majibu ya CSR

RC Geita awaamuru watendaji wa GGML kutoka nje ya kikao kwa kutotoa majibu ya CSR

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella amewaamuru watendaji watatu wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) kutoka nje ya ukumbi wa Kikao cha Kamisheni cha Mkoa (RCC) baada ya kutoridhishwa na majibu juu ya utoaji wa malimbikizo ya pesa za uwajibikaji wa makampuni kwa jamii (CSR) ambazo hazijatolewa kwa muda mrefu.

Shigella alisema fedha za CSR ni pesa ya wananchi na siyo pesa za mtumishi wa GGML na haitolewi kama hisani bali ipo kwa mujibu wa sheria na kanuni za madini na hivo GGML haipaswi kuleta mzaha katika utekelezaji wa CSR.

 
Back
Top Bottom