BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani Machi 08, 2025, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Zuberi Homera atakuwa Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo Kimkoa wa Mbeya yatafanyika Wilaya ya Kyela pale Kipija Arena siku ya Ijumaa Machi 07, 2025. Nyooote mnakaribishwa.
*Kauli Mbiu: Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji.
*Kauli Mbiu: Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwezeshaji.