RC Homera na ziara ya kikazi wilayani Mbarali

RC Homera na ziara ya kikazi wilayani Mbarali

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera atafanya ziara wilayani Mbarali kesho Jumatano Juni 07, 2023 ambapo atakagua mradi wa umwagiliaji wa Uturo Isenyela wenye thamani ya Bilioni 13.9, kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mapogolo, kufanya kikao cha Baraza la Madiwani kujadili taarifa ya hesabu za CAG pamoja na kuongea na Waheshimiwa madiwani.

Fuatilia ziara hii nzima kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook, Twitter na Instagram ya Mbeya Rs Digital.

49d8eb5290164515ae28b3c394e990bd.jpg
 
Mtoa mada ndiye Homera mwenyewe, anajipigia pasi mwenyewe. Hahahahaha
 
Ziara Ndiyo kazi yake,kipi Cha ajabu? Na odadi kubwa ya wananchi wa huko vijijini hawapo humu kwenye mtandao,aache ujinga.
 
Homera mwana UDOM(political science and Public Administration)
 
Back
Top Bottom