Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo ameendelea kuwasihi wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki kwa vyama vyote hasa kwenye ushindi kwanamna ambavyo wananchi watapiga kura.
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Mrindoko ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake ambapo ameendelea kuwasihi wasimamizi wa uchaguzi kutenda haki kwa vyama vyote hasa kwenye ushindi kwanamna ambavyo wananchi watapiga kura. View attachment 3161598