GE2025 RC Katavi: Usalama utakuwepo siku ya Uchaguzi, vyombo vya ulinzi vimejipanga vizuri

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewakikishia usalama wananchi wa mkoa huo na kuwataka kushiriki kikamilifu katika zoezi la uchaguzi Mkuu wa mwaka huu linalotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba, 2025 kote nchini

Pia alisema, Kamati za Ulinzi na Usalama pamoja na vyombo vya dola vimejipanga kikamilifu kuhakikisha kuwa uchaguzi huo unafanyika katika hali ya amani


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…