upupu255
Senior Member
- Sep 4, 2024
- 119
- 144
Wakuu
Yaani gari wanunue wao CWT alafu RC Kilimanjaro kaenda kuzindu tu!
==
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bwn. Nurdin Babu akizindua gari la chama cha walimu Moshi manispaa wakati wa Kliniki ya Samia katika mkoa wa Kilimanjaro iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Weruweru wilayani Hai.
Wakati wa kukabidhi gari hilo mwenyekiti wa chama cha walimu mkoani humo alieleza dhamira ya kununu gari hilo ni kusaidia walimu wa wilaya husika kwenye shughuli mbalimbali za kijamii.