Hao wahuni wametumwa na nani sasa?Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine mamia kujerujiwa.
Huu sio wakati wa kuacha kuwapa watanzania ukweli juu ya nini kinaendelea hapa nchini please nenda na matukio na wakati.View attachment 1731840
Yaani bila kubadili mfumo tutaendelea kuwa na viongozi wa hovyoMr Kunenge anajua.
Nasikia barabara zote zilikuwa zimefungwa kuingia na kutoka tangu asubuhi sijui wasafiri wamepataje shida leo.Huku Dodoma leo wenye maduka walipigwa Mkwara Mzito wa Maduka.
One way yote Maduka yalifungwa, Soko la Majengo na Maeneo kuzunguka Uwanja wa Jamhuri Maduka yalifungwa kwa lazima.
Usalama ni ajili ya kulinda wanaccmAlfu tunajinasibu tuna wana usalama.
Humuamini IGP ajaye?Katika watanzania ambao sina imani nae ni huyo. Labda nyie wana Dsm.
Naandika haya nikiwa na simanzi. Wamefariki watu zaidi ya 50. Yes hamsini. Leo nilikuwa Muhimbili kuchukuwa maiti za ndugu zetu. Nasema maiti za ndugu zetu kwani tulikuwa tunachukuwa maiti 4 za familia moja. Wanakwenda kuzikwa Tanga kesho. Mochwari imefurika. Watu ni zaidi ya hamsini. Bado Temeke hospital. Tumekuta familia nyingine imepoteza watu watano. Mama, watoto wanne na house girl. Serikali haijali. Haitoi msaada wowote.Inashangaza watu unakomaa kukanusha habari za wamachinga kulazimishwa kufunga maduka ili washiriki maombolezo ya kitaifa huku unaacha kukanusha kama kweli au si kweli watu 45 wamefariki na wengine mamia kujerujiwa.
Huu sio wakati wa kuacha kuwapa watanzania ukweli juu ya nini kinaendelea hapa nchini please nenda na matukio na wakati.View attachment 1731840