The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.
RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.
Amesema kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 4.1 zinatoka Serikali Kuu, bilioni 3 kutoka kwenye mradi wa kuboresha elimu ya sekondari na milioni 719 kutoka kwenye mradi wa kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa shule za awali na msingi Tanzania bara (BOOST).