Pre GE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

upupu255

Senior Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
119
Reaction score
144
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.

RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye thamani ya shilingi bilioni 7.8.

Soma: Rais aweka jiwe la msingi ujenzi wa daraja la Mto Pangani la Bilioni 107, Urefu wa Mita 525

Amesema kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 4.1 zinatoka Serikali Kuu, bilioni 3 kutoka kwenye mradi wa kuboresha elimu ya sekondari na milioni 719 kutoka kwenye mradi wa kuimarisha ufundishaji na ujifunzaji kwa shule za awali na msingi Tanzania bara (BOOST).
VIDEO: ITV Tanzania
 
Hawa watu wataamka lini? Kila siku “fedha za Mama Samia,” “fedha za Mama Samia…” Samia kapata kupata wapi hizo fedha?
 
Sasa nimejifunza,kuna bilioni za siasa,bilioni za chawa na bilioni halisi.Hali hii inachekesha
 
Back
Top Bottom