RC Makalla: Machinga wote Dar walio katika hifadhi ya barabara, Wataondolewa na vibanda vyao kuanzia Septemba 13, 2021

Hivi waliletwa na nani?
 
Jamani namuuliza huyo Makala DC wa Dar, hivyo vitambulisho mulivyowapitia wamachinga, wewe huvitambui? Au wataka kupingana na mwendazake kwakuwa alikutumbua?

Hivyo wataka kumalizia hasira zako kwa wamachinga?? Mwendazake alisema wasiguswe ni wapiga kura wake, wewe wamachinga hawakuhusu??

Huyu Samia aliyekurudisha, alipigiwa kura na hao hao unaowafukuza.
 
Ni vema hao walioko kwenye hifadhi ya bara bara mkawaacha, hao walipanga bizaa zao barabarani waelimushe, sio kuwafukuza!! Ukiwafukuza. Unatengeneza kundi la waharifu!!
 
Asante mods kwa kuweka hili sawa.
Kwani ulitaka mkuu wa mkoa atoke wapi?
Kwani huko barabarani nani aliwaleta?
Yale sio maeneo sahihi ya kufanya biashara.
 
Makala dc wa Dar! Samia alipigiwa kura na wamachinga! Yesu alitembea na mke wake!
 
Mfano kama Kariakoo wale wanyonge wote wana vitambulisho sitaki kuamini hivyo kwa ule mbanano
 
Ni vema hao walioko kwenye hifadhi ya bara bara mkawaacha, hao walipanga bizaa zao barabarani waelimushe, sio kuwafukuza!! Ukiwafukuza. Unatengeneza kundi la waharifu!!
Kufanya biashara eneo lisilo sahihi ni uvunjifu wa sheria. Kosa wanalo tayari
 
Tembelea POSTA mpaka MAGOGONI ni Uchafu mtupu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Chadema watageuka watetezi wa machinga na ndiyo hapo Amoss Makala atafukuzwa ukuu wa mkoa.
Angalizo watolewe kwa kwenda kupewa maeneo sio kuwatoa kihuni masoko yapo mengi na yapo wazi sana
 
Mkuu

Lengo lao kuu ni kufuta nyayo za JPM lakini pia vitendo wanavyowafanyia wamachinga itaibua hamasa ya visasi na chuki zinazofanana na Hamza; the aftermath is next door, they have decided to set off the safety at their own risk whether knowingly or not being aware that the community may trigger sporadic backlash at a time convenient.
 
Kariakoo kero ni nyingi mno,
Aje atembelee huku jioni aone malori yalivyozuia njia, wagonjwa wanafia barabarani, wazee wanashindwa kutoka kwa majumba yao, viofisi vya usafirishaji katikati ya barabara, yaani ni kero kuliko maelezo,
Sio kuwaonea wamachinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…