RC Makalla: Sijaugua maleria wala magonjwa nyemelezi kwa miaka 30 sasa kwa sababu nafanya mazoezi, tahadhari ni muhimu!

RC Makalla: Sijaugua maleria wala magonjwa nyemelezi kwa miaka 30 sasa kwa sababu nafanya mazoezi, tahadhari ni muhimu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema yeye binafsi hajawahi kuumwa ugonjwa wa maleria au maradhi nyemelezi kwa sababu anafanya mazoezi kila siku.

Makalla amesema ili kupambana na Corona ni vema tukachukua tahadhari zote ikiwemo kula vizuri na kuchanja.

Source: ITV habari
 
RC Amos Makalla bhana....!!!! ngoja ninyamaze tu ukizingatia pia ni mwana Simba SC Mwenzangu Kindakindaki.
 
Hata Ana Mghwira aliwahi kusema aliugua korona akala malimao akapona, baadaye tukasikia ameuma shuka kwa ugonjwa huohuo.
 
Majalka anatafuta balaa sasa.

Tunakumbuka Mwalimu alisemaje na muda mfupi baadaye akaugua vibaya na kufariki.
 
Back
Top Bottom