J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Aug 17, 2022 #1 Pale Kariakoo Stendi za Daladala ziendazo Tegeta, Makumbusho, Kawe na Mabibo ziko barabarani na zinaziba biashara za watu Ni vema RC Makalla ukarekebisha hizo kwanza kabla ya kuwahamisha akina Shabiby na ABC kule Manzese Ni ushauri tu
Pale Kariakoo Stendi za Daladala ziendazo Tegeta, Makumbusho, Kawe na Mabibo ziko barabarani na zinaziba biashara za watu Ni vema RC Makalla ukarekebisha hizo kwanza kabla ya kuwahamisha akina Shabiby na ABC kule Manzese Ni ushauri tu
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 17, 2022 #2 Wateule wa hizi awamu 2 (5 & 6) ni aibu tupu hawana ethics za uongozi hata kidogo
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Aug 17, 2022 #3 Wanamkwaza nini wakipaki huko? nadhani soon atang'olewa Dar