Malcolm X5
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 1,639
- 2,752
Kama huna maslahi naye basi wewe ndio yeye mwenyewe.Best RC ever
Huyu RC alaanike, alimpoison boss ruge sasa maombi anafanya ya niniUnafiki at its best,
Amechangia kwa kiwango kikubwa ruge kuwa hapo.
Kwanza issue ya shilawadu,ruge akapambana,
Wakaja kumtorture psychological kwenye mahusiano yake(zama akitumika).
Wakaja kwenye wasafi festive
Tunajua serikali Ina nguvu,ila si nguvu za kijinga hizi.
Yuko kitandani kwa mengi,depression,anxieties and of course ugonjwa anaoumwa.
SHAME.
Huyo jamaa alilishwa sumu mbona mambo yanafichwa vichwa sana
Huyu RC alaanike, alimpoison boss ruge sasa maombi anafanya ya nini
Sent using Jamii Forums mobile app