johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewataka Viongozi wa CCM kuzunguka kona zote na kuwaletea Taarifa za Viongozi wabovu na wezi Ili wawashughulikie kungali Mapema
" Msije kutulaumu wakati wa Uchaguzi mambo yakiwa Mabaya" ameonya Makonda
Mwenyekiti wa CCM Komredi Sabaya amemuhakikishia Chama kitampelekea mh RC Makonda taarifa zote za uozo Hata zile zilizojoficha ndani ndani Kabisa ili CCM isipepesuke wakati wa Uchaguzi
Chanzo: Jambo TV