Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Kuna walimu wa chuo wana mshahara wa milioni nne, sasa fanya cross multiplication Mkuu wa mkoa atakuwa anachukua shilingi ngapi
Kuna Professa mmoja wa chuo cha Tumaini, analipwa 8.5M
 
Watu tumezidisha chuki,wivu na majungu. Ekari 23 kumilikiwa na mtu mwenye mshahara wa mkuu wa mkoa imekuwa ni jambo la kuuliza?
Ndugu, hizi sio ekari za shamba.
Ni plots..viwanja kwa ajili ya makazi.
Kwa taarifa yako vilipo viwanja hivi vya Makonda yaani Block R na Block S ni eneo jipya la makazi kwa Jiji la Dodoma.
 
Mkuu acha utani million 400 uzipate kwenye mshahar tu haiwezekani mshahar hata hauzidi 20 mill

Sent using Jamii Forums mobile app


Tatizo watu wengi hawana time na kujielimisha kuhusiana na uwekezaji na ujasiriamali. Mkipata kazi mnaona ndio mshamaliza at the end mnakuwa wabishi kwa vitu msivyovijua.

Kahawa tu eneo la ekari moja at optimum condition matunda itakayozalisha ndani ya mwaka mmoja inaweza kuzaa matunda yenye thamani ya zaidi ya milioni 32
 
BILLIONNAIRES IN THE MAKING !

Dhibiti matajiri wote wasiokuunga mkono,

Tengeneza matajiri wako,

- Tulia Ackson

- Daudi Bashite

- Venance Mabeyo

- Dotto James

- Alexander mNyeti
 
uhitaji ushahidi wapi kakwapua
maadili ya viongozi yanataka maelezo ya mali unazomiliki umepataje
kwa kamshahara ka mkuu wa mkoa hawezi kumiliki hivyo viwanja vya mamilioni
labda unahitaji elimu flani kuhusu utumishi wa umma


Kwani anashindwa kufanya biashara nje ya huo mshahara wake?

Akitenga milioni 40 kutoka kwenye mshahara wake akaenda kulima unafikiri atavuna mavuno yenye thamani ya milioni ngapi?
 
ajimilikisha kanunua c ana hela na wewe nunua unarusiwa kununua hata ekari 1000 nchi kubwa hii ina mapori kibao nunua na ww.
 
Kavinunua au kapora?
 
Mtoto anaendelea kuchanja mbuga, anatoa mazawadi ya ngawira kede kede
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…