RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Nikiunganisha dots na kigugumizi cha baba yake prince kwa ujinga anao ufanya prince hasa naelekea kuamini kuwa kuna kolabo la kufa mtu kati ya watu hawa wawili na huenda matukio mengine ambayo si mazuri na ina wezekana kuna kazi prince anapewa za kimafia ndio maana kuna kigugumizi

Kuna walio kuwa packed mto mkubwa wakaokotwa R.I.P na iko muted had leo na sasa kwa tukio la claudia + kikosi kazi chenye mitambo!!!?????? ...................................... An hour after 7 O'Clock ...................muted!?hii colabo hiii nahisi ina umafia inside...!!!!!!!!! Nimeanza kupata nayo hofu maana hii si kawaida ya baba prince endapo hayo yangetokea kwa wale wasio kuwa kina prince
 
Nafatilia sana mkuu....habaru ya huyo dada naijua..na habari kuwa huo ni mchezo wa bashi naijua...tatizo sijaona huyo mtu aliyeisifia shilawadu....AU NI WEWE NA MASHOGA ZAKO NDO MLIMSIFIA?
Mkuu mashoga zangu wepi tena mkuu hao SHILAWADU walisifiwa na mkuu wa kaya.
 
Huwezi tunga kitu kama hiki buana sometimes tutumie na akili za kuzaliwa
 
Mkuu kwa nin hii habari ukuileta tangu siku ya tukio ikawa "Breaking News"..?
Na hii habari sisi tuliihitaji kwani mpaka useme "Tukihitaji footage za kamera zipo" si ungeweka tu kama ulivyoileta hii habari.
Naona wanazungumzia majina ya akina Makonda, Gwajima, Ruge nd the like kuliko hata content ya habari yenyewe.
 
Nenda IG ... mange kashaiweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…