RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Nimeona clip ya Makonda kwa Mange hadi mimi ndio nimehisi kudata jmani

Pamoja na CCTV footage lakin cha ajabu bado hatochukuliwa hatua na humuhumu kuna watu bado watamtetea[emoji28]. Ingekua pcha tungesema edited, ile ni vdeo kabisa. Naonanbaada ya Mange kukinukisha kutishia kuwaumbua clouds sasa STAFF wakaona icwe tabu, wakaenda kumchomolea CCTV footage[emoji28]. Maana Mange alishaanza kukinukisha, alimpost Unmasked Soudy Brown.
 
daaah hivi Makonda hana washauri kabisa au na yeye ndio hashauriki.
Nadhani kabila lake pia linachangia. Mtu Unajua uko mji wa watu wajanja kama Dar alf unatumia mbinu za kitoto kuuficha ukweli. Na ile vdeo itamhukumu, ya gwajima saiv hatujali atabmtoto awe wake kweli. Kwann atumie nguvu ivo kuficha madudu yake.
 
Wakuu hyo habari kusema Rc ea Ddm aliingia Clouds na Adkari mwenye silaha za moto, ni kweli taarifa ya cctv, clouds media imetoa siri yote sasa Huyu ndio Makonda anaewaongoza watu wa guko Dsm, kwa watu anaonekana mtakatifu lkn jamaaa kaingia na polis clouds na silaha za moto

.............imeshindwa kuja aiseee

Source: insta page ya Askofu Gwajima..Now

Mtu anisaidie ku upload.
 
Uwiiiiiiiii


Kumekucha ......ngoja serikali ilowe matope,asiyesikia la mkuu la kumuondoa makonda Dar!!

Uzuri ukiwa kwenye bwawa la matope,kila ukiambiwa jifute usoni uondoe tope,ndivyo unavyozidi kujipaka matope maana mwili wote umejaa tope baada ya kugalagala topeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…