RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Watanzania kweli tumefikia pabaya badala ya kumuamini mungu aliyetuumba eti tunamwamini mangi kimambi
Suala sio kumuamini mange video ipo na makonda kaonekana anaingia na wanajeshi.....ila mange kiboko nahisi clouds wameiachia makusudi video baada ya mange kutishia kumwaga siri za maboss wa clouds!! Ila makonda ni kilazaaaa anajiona rais wa hii nchi au yaan nazidi kumchukia
 
Watanzania kweli tumefikia pabaya badala ya kumuamini mungu aliyetuumba eti tunamwamini mangi kimambi
Hizi story zina pande mbili...Mange na Daudi......Nikiitafsiri kauli yako unamaanisha unaamini kabisa Daudi ndo mungu aliyekuumba.....Astaghfirullah
 
Kumbe tunaambiwa tukilipa kodi tudai risiti na eti serikali inahitaji kufanya shughuli zake......kumbe shughuli ndio hizi za shilawadu?

Unamchukua askari mwenye nembo na bendera ya taifa,na bunduki kufatilia video clip ya shilawadu?

Darasa alisema "too much"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…