RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Haishangazi sana,wasanii wamekuwa wakilalamika ya kwamba huwa anawapa picha na caption za kuwalazimisha ku post anachotaka na kama mnakumbuka kipindi fulani alikuwa na issue ya usafi leaders wasanii wote hawakwenda kasoro wasafi na steve nyerere akaingia akiwa amechelewa,akiwa na microphone akaanza kumbwatukia na kumuambia kaawambie wenzako kuanzia leo wasije nyumbani kwangu
He is a spoilt brat ,bila shaka anakusanya rushwa toka kwa wahalifu on behalf ya viongozi wa juu
 
kila ninapoingia ni makonda au bashite makonda au bashite

Kwa kweli mtamuua mtoto wa Sizonje
 
Huyu Jamaa Hafai Kabisa Sijuwi Kwa nini Anabaki Mpaka Leo.
 
Kwa habari hii, Daudi Albert Bashite anapaswa kuwa Rumande Mara moja na kuvuliwa madaraka yote. Ni uhuni na matumizi mabaya ya madaraka uliokithiri. JPM tafadhali shika hatamu sawasawa.
 
Kwa nini myoe jf na wakati ni issue ya kipolisi?
 
Hata sielew nimwamini yule mmama aliesema kazalishwa na gwajima au niamini habari hii. Cha muhimu jamaa aweke vyeti mezani haya madrama hayasaidii, tatzo bwana yule hatak kukubal matokeo kwamba wabongo wamegoma kupotezea hii mada.
Halafu ukitaka kujua huyo bashite ni kiazi yeye katika akili yake anajua wanaweza kumbambika mtoto wakati kuna DNA?ubashite ni mzigo mzigo sana
 
Kama Kuna footage au hakuna, Kama Gwajima ametelekeza mtoto au imetengenezwa kumchafua, hii Sinema inatakiwa iishe sasa Kwa Mh kutoa vyeti hadharani au aachie ngazi au aachishwe na mamlaka iliyomteua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…