RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Hili liwe fundisho kwa Clouds Media, walizidi kujipendekeza, sasa warudi kwenye mambo ya msingi. Wasitafute huruma ya wananchi sasa huku wakati wote walikuwa ni wasaliti kwa kutotoa taarifa zisizo sahihi na kupotosha umma.
 
Hiyo kitu ni fake. Ije footage hapa watu wanapigwa marisasi na nini na nini ndo mpango. Bongo hawajui kuigiza risasi so itakua rahisi kung'amua
 
Uvamizi kwenye media house na wanajeshi wakiwa na silaha ???,tumefika hapa leo,ama kweli sauti za watu ni sauti ya Mungu...watu walionya sana lakini hawakusikilizwa.Siipendi Clouds lakini siungi mkono uvamizi wowote kwenye vyombo vya habari. Mkuu Barafu ubarikiwe sana ulionya hii kitu wiki iliyopita.
 
Yaani daudi ishu ni simpo tu kutuonesha tu cheti yameisha..
 
Le-Mutuz kwa sasa limejikita kwa Makonda saa 24 linazunguka zunguka kwake kuokota chochote ni jitu lisilojitambua kwa kiasi kikubwa sana.
Frankly lemutuz should hv respect to his age...ni babu yule..kibabuu...but he still let his big big tummy dictate him..[emoji3][emoji3][emoji3]...
 
Mungu mkubwa, ameamua kumdhihirisha makonda na rangi zake zote ,japo mkulu amekuwa akitetea. Sasa hili akivumiliwa siajabu litakalofuatia ataangamiza watu kwa mtutu.

Namsihi Mkulu ampumzishe kijana kwani kashavurugwa, lkn pia asitetee kwa mbwembwe wateule wake kwn wanajaa sifa na hatimaye kuharibu zaidi.

Clouds nao liwe fundisho, mmezidi kujipendekeza na kupenda sifa za upande mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…