RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Nimeona hiyo clip kwa Le Mutuz... kumbe wameamua kuisambaza instagram baada ya kushindikana Clouds!!! Lakini Soud na wenzake wanafahamu kwamba wamemkosea sana Sizonje?! Manake ndo kipindi chake hicho!! Yaani kama namuona vile Sizonje jana anakaa vizuri akijiandaa kula ubuyu wa Gwajima!!!
 
Naiman jinsi mnavyomchukia makonda ingekua ni kweli hakika ingeshatoka saa nyig hyo clip ili kuzidi kumwaibisha laki sababu ni story ya kutunga ndio maana unamwaya mwaya kuweka hadharan,,,, hiv mwanaume unapokua m'mbea m'mbea unapaswa kuwekwa fungu gani???
 
basi sawa ila mwambie huyo mama namsubiri uku nyumbani maana siyo kwa kuniwekaa hivi usiku huuuu
 
mtumie mange jamaa
 
Le-Mutuz kwa sasa limejikita kwa Makonda saa 24 linazunguka zunguka kwake kuokota chochote ni jitu lisilojitambua kwa kiasi kikubwa sana.
 
Napata ugumu kuamini hii habari bila ushahidi, ila pia kwa namna team Makonda wanavyopigana hii vita, nalazimika kuziamini tuhuma zote juu yao. Namna pekee kwa Mkulu, Makonda, na timu yao, ya kuwa-discredit Gwajima na Mange, ni kwa kumaliza utata dhidi ya authenticity ya elimu na identity ya Makonda. With that, hata tuhuma za kupiga dili chafu zitakosa nguvu.
 
Acheni kukuza mambo hivi unawezaje kuamini bila source yenye habar za uhakika unaanza kuropoka tuu watz mmekuaje jaman!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…