Alex Fredrick
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 697
- 1,358
Simba nao atawapa lini uwanja?Kigamboni muda huu, katika makabidhiano ya eneo ambalo Mkuu wa mkoa Dar aliahidi kuwapa Yanga SC.
Ahadi imetekelezeka, tayari viongozi wa Yanga SC wanalipigia mahesabu makali eneo hilo kuliendeleza katika shughuli za ujenzi uwanja na miundo mbinu mingine!View attachment 1130705
... na Azam?Simba nao atawapa lini uwanja?
High calculated risk with high rewardsKigamboni muda huu, katika makabidhiano ya eneo ambalo Mkuu wa mkoa Dar aliahidi kuwapa Yanga SC.
Ahadi imetekelezeka, tayari viongozi wa Yanga SC wanalipigia mahesabu makali eneo hilo kuliendeleza katika shughuli za ujenzi uwanja na miundo mbinu mingine!View attachment 1130705
hizo ekari 200 tulipewa na manji, bashite na jiwe wakaja kuzitaifisha sasa nasikia wametulejeshea ekari 37 tuu tena kwa mbwebwe, ekari zilizo baki wamezitia kibindoni alafu wanajidai wazalendo, nyambafu zake!
Hili swali na mimi ninajiuliza sana, ukubwa wa eneoEka ngapi ametupa?
7Hili swali na mimi ninajiuliza sana, ukubwa wa eneo
Nadhani litatosha kujenga hata viwanja 3 (complex flani) na uwekezaji mwingine