Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Hata msosi hakuna,hakuna Davis Mosha,Makonda wala mzee Mengi😂🤣hata baba yake amemsusa mzee punje kibamiazi pole n this case is closed😂😃😂😃
Kuongeza tu ujinga.Eti kitabu!!!!, mfyuu! Mtunzi boya, na mzinduzi fa fa fa,. Utaelimika nini!!!
Angalia usije pelekewa polisi manake yule wa ubungo plaza zilijazana difenda na kufukuza watu, naona kijani ndio watakaonunua
Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda.
Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku.
Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.
Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.
Le Mutuz Superbrand
NomaThe hate kwenye huu uzi it's so oblivious mpaka inachefua!! Tanzanians we are too personal hata kwa mambo yasiyotuhusu!
Hey, it was a blast!! Uzinduzi wa hiki kitabu ulikua as planned and all things fell into place! Tukumbuke tu; ""- be who you are, the rest of the world will adjust!""View attachment 852986ìView attachment 852975View attachment 852975View attachment 852976View attachment 852977View attachment 852978View attachment 852979View attachment 852980View attachment 852981View attachment 852982View attachment 852983View attachment 852984View attachment 852985View attachment 852986 View attachment 852976View attachment 852977View attachment 852978View attachment 852979View attachment 852980View attachment 852981View attachment 852982View attachment 852983View attachment 852984View attachment 852985s
View attachment 852986
Let it be!! Friend of your enemy is your enemy too!!Imetosha sasa! Hii chuki iliyopo kati yetu kama watanzania kisa itikadi za kisiasa wala hatotuvusha popote zaidi ya kutupeleka shimoni!
***Please read the book #AnOrdinaryMan by #PaulRusesabaginya
The future that we are all looking forward to ain't as bright as we think with all these barriers we setting with our personal grudges! !
Safi!! you are goodThe hate kwenye huu uzi it's so oblivious mpaka inachefua!! Tanzanians we are too personal hata kwa mambo yasiyotuhusu!
Hey, it was a blast!! Uzinduzi wa hiki kitabu ulikua as planned and all things fell into place! Tukumbuke tu; ""- be who you are, the rest of the world will adjust!""View attachment 852986ìView attachment 852975View attachment 852975View attachment 852976View attachment 852977View attachment 852978View attachment 852979View attachment 852980View attachment 852981View attachment 852982View attachment 852983View attachment 852984View attachment 852985View attachment 852986 View attachment 852976View attachment 852977View attachment 852978View attachment 852979View attachment 852980View attachment 852981View attachment 852982View attachment 852983View attachment 852984View attachment 852985s
View attachment 852986
Ungranza kwa kutafuta jibu la swali hili.Imetosha sasa! Hii chuki iliyopo kati yetu kama watanzania kisa itikadi za kisiasa wala hatotuvusha popote zaidi ya kutupeleka shimoni!
***Please read the book #AnOrdinaryMan by #PaulRusesabaginya
The future that we are all looking forward to ain't as bright as we think with all these barriers we setting with our personal grudges! !
Ilifana kweli, babu alivaa suruali siku hiyo.The hate kwenye huu uzi it's so oblivious mpaka inachefua!! Tanzanians we are too personal hata kwa mambo yasiyotuhusu!
Hey, it was a blast!! Uzinduzi wa hiki kitabu ulikua as planned and all things fell into place! Tukumbuke tu; ""- be who you are, the rest of the world will adjust!""View attachment 852986ìView attachment 852975View attachment 852975View attachment 852976View attachment 852977View attachment 852978View attachment 852979View attachment 852980View attachment 852981View attachment 852982View attachment 852983View attachment 852984View attachment 852985View attachment 852986View attachment 852976View attachment 852977View attachment 852978View attachment 852979View attachment 852980View attachment 852981View attachment 852982View attachment 852983View attachment 852984View attachment 852985s
View attachment 852986
Mzee Mengi alikuja? Acha mbwembwe we Mzee you are zero zero zero .- Nina a choice ya kukusikiliza wewe unayetumia majina ya bandia na Mzee Mengi Mwenyekiti wa IPP aliyefurahishwa na kitabu mpaka kuamua kuja siku hiyo na kuomba kuongea, hahahahahaha eti ungekua wewe ungechagua kumsikiliza nani hapa? hahahahahahahahah
le Mutuz Superbrand
Ungranza kwa kutafuta jibu la swali hili.
Ni kwa nini so hatred kwa Mobimba nge nge nge?
Kwa nini iwe kwa watu wengi namna hii?
Huyu Mtu wako anachuki kuliko hata chiki za wanao mchukia!
The hate kwenye huu uzi it's so oblivious mpaka inachefua!! Tanzanians we are too personal hata kwa mambo yasiyotuhusu!
Hey, it was a blast!! Uzinduzi wa hiki kitabu ulikua as planned and all things fell into place! Tukumbuke tu; ""- be who you are, the rest of the world will adjust!""
Acha kudanganya, uzinduzi wa kitabu was not as was planned.
Sifa na mbwembwe kibao za kitoto ndio zinamuangusha.
Mara daudi Bashite ( mkwepa Kodi) ndio mgeni Rasmi, mara hoo nilikuwa na Mzee Mengi siku nzima lazima aje.
Embu mweleze huyo kubwa jinga au kama it's you yourself tambua kwamba masifa yako ya kijinga na kuishi tofauti na wazee wenzako ndio kunakokushushia heshima ndio maana watu wanakuchukia.
Watu wenye akili zao haiwaingi akilini kuona unavyojishauashaua mitandaoni kama vibinti vidogo vilivyo just balehe.
Embu badilika we Mzee kuwa kama wazee wenzako.
Eti kabisa ulitegemea Mzee Mengi kabisa na heshima zake aje kuhudhuria huo upuudhi wako.
Kaa chini jitafakari
kumbe hao ulowataja hawakuwepo?😨😨Mzee Mengi alikuja? Acha mbwembwe we Mzee you are zero zero zero .
Tatizo mbwembwe nyingi za kitoto angali ni Mzee . Angalia sasa ulivyosusiwa huo uzinduzi Hadi Bashite kakuogopa, kaaa umezidi kujipendekeza we Mzee utafikiria wadangaji wa mjini, Fala Sana we jamaa,na unaaibisha ukoo wa Mzee malecela
Hawakuwepo,kumbe hao ulowataja hawakuwepo?😨😨
Hivyo anayenichukia nimpende?You may be right but the last time I checked pouring hate onto another only poisons you more than the one you hate! Haina maana kumchukia mtu kisa yeye ana chuki, unajichafua roho na nafsi tu!
Hongera William wengi watajifunza kupitia kwako big up!
utakuta huko anapoishi kawanunia watu kibao na anawachukia wengi tu...ila jf anatoa ushauri!Hivyo anayenichukia nimpende?
Nina Moyo wa YESU Masiah?