[emoji23]suti size gani itamtosha ? Itabidi mA designer kama sheria ngowi , kadinda nk waumize vichwaUvae Suti siku hiyo sio hayo manguo yako hilo ni tukio "Spesho".
KITAMBO SANA MKUU POLE NA KAZINot talking about his title.
But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.
Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
Not talking about his title.
But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.
Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
Yy anaongelea uzoefu wake wa kuish marekani. Na wala hajizungumzii yy maisha yake halisi.Tatizo la kitabu ambacho kinaelezea kinachoitwa "true story", sio kweli kwamba ni true story, bali kuna vitu vingi vibaya alivyofanya mwenye kitabu havielezwi, kuonyesha kwamba yeye ndo chanzo cha tatizo, yote ni katika kutimiza story.
Vinginevyo, kama kwenye hiyo story kuna mwanamke aliachwa mfano, basi kuwe na stori ya kweli kutoka huyo mwanamke nae aelezee, mfano unaweza kuta jamaa alisalitiwa sababu ya kibamia au kukoroma usiku kwa mfano, unadhani hiyo story utaiona kwenye icho kitabu?
Lazma utaje kile ambacho ulikifanya kule, kama ulizulumiwa, lazima usema, kama ulivuta bange, lazima usema, kama ulitoswa baharini, lazima useme etcYy anaongelea uzoefu wake wa kuish marekani. Na wala hajizungumzii yy maisha yake halisi.
Ama mm ndio sijamuelewa?
Mwl wangu wa filosofia prof IShumi aliwah kutufundisha hivi "maandish yeyote yaliyoandikwa kwenye karatasi yafaa kwa kujifunzia" na mafunzo yake yaweza kuwa ni hasi ama chanya. Na hata uwe na akili kiasi gani Bado maandish yako kwenye kitabu yatapingwa tuu na hata wale wasio soma Bado wanaweza kuyapinga tuu. Sababu kubwa ni hakuna mtu mwenye akili ya utimilifu kwamba akiandika basi amekamilika na amemaliza yote kwa umuhimu kwenye maandish yake.
Hivi uzoefu wake wa marekan unauhusiano wa moja kwa moja na maisha yake binafsi?Bure sikitaki ,Amekimbia mke na watoto USA kisa majukumu akueka upupu huo kwenye kitabu.
Lazma utaje kile ambacho ulikifanya kule, kama ulizulumiwa, lazima usema, kama ulivuta bange, lazima usema, kama ulitoswa baharini, lazima useme etc
Alisha yaeleza yote kwenye insta yake, akapata comment za aandike kitabu ndo nae akaandika.Una reference ya kitabu gani kilichotaja hivyo?
Labda nikuulize hivi experience yaan uzoefu ni sawa na maisha binafsi?Lazma utaje kile ambacho ulikifanya kule, kama ulizulumiwa, lazima usema, kama ulivuta bange, lazima usema, kama ulitoswa baharini, lazima useme etc
Kama mfano ataelezea aliajiriwa afu akafukuzwa kwa chuki binafsi,akaenda kulala kwenye mabox stendi ya Amerika, ina maana hayo sio maisha binafsi?Labda nikuulize hivi experience yaan uzoefu ni sawa na maisha binafsi?
Akikujibu fanya kuntag.Mtu asiye kuwa na elimu kuzindua kitambu kilichoandikwa na mwenye elimu. Only, in Tanzania...
Kwa nini usitafute wasomi tu hapa nchini people like Mfuruki, Mengi, et all
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera Kwa uzinduzi wa kifungia maandazi!!