RC Makonda: Samia aongeza Mapato ya Utalii Arusha kutoka Bln 310 Hadi Trilioni 2.7, VAT kutoka Bln 37 hadi Bln 336. Royal tour imekuwa mkombozi

Ahadi ya zile CCTV kila kona jiji la Arusha pamoja na teknolojia na mifumo ya kisasa kwenye vituo vya polisi itatimizwa lini?
 
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anafanya na amefanya kazi kubwa sana ya kuleta maendeleo katika kila secta hapa Nchini.Tuna kila sababu ya kuendelea naye na kumchagua kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima katika awamu ya pili
 
Undisputable giant

View: https://www.instagram.com/p/DErmxfli9ND/?igsh=MWxlc2tlZWx4YTFkYw==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…