RC Makonda wasikukatishe Tamaa ukihakikisha tunamfunga Algeria tarehe 1 July 2019 Tanzania tunafuzu hadi Ubingwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Namuamini kabisa RC Makonda na kama ambavyo aliahidi juzi kuwa jana Tanzania ingeshinda dhidi ya Wakenya na imekuwa Kweli basi sasa namuomba sasa RC Makonda aendelee kubaki na Timu huko huko Misri ili tumfunge Mwarabu tutinge zetu 16 bora rasmi na hadi tutachukua huu Ubingwa AFCON 2019.

Mimi naamini kabisa kwamba kwa Tanzania hii kuna Watu wawili tu ambao huwa hawashindwi Kitu na hadi leo kila walifanyalo linakuwa nao ni Rais JPM na Kipenzi chake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Nina mifano michache tu ya Kuthibitisha kuwa Wawili hawa ambao wanashibana mno huwa hawashindwi jambo na mambo yao yote huwa wanayatekeleza bila Kukwama.

Kwa mfano Rais JPM alituambia kuwa iwe isiwe December mwaka Jana ( 2018 ) angekuwa ameshahamia Mkoani Dodoma ( Mji Mkuu ) na ni kweli kabisa hadi hivi sasa ameshahamia huko rasmi japo Usiku tu ndiyo huwa analilia Dar es Salaam ila asubuhi Kazi zake nyingi huwa anazifanyia Mkoani Dodoma. Nampongeza sana kwa hili.

Nikirudi kwa Swahiba wake na Mwanae Kipenzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nae pia Juzi akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari akitokea nchini Misri alisema tena kwa Jeuri na Nyodo zake zote kuwa Timu ya Taifa Stars jana ingeifunga Harambee Stars ya Kenya na bahati nzuri ni kweli Tanzania imeshinda kwa nguvu za Makonda na sasa Makonda anapambana ili Tanzania imfunge pia Algeria Siku ya Jumatatu ili tutinge 16 bora na ikiwezekana tubebe na Kombe kabisa ili akaliwakilishe pale Ikulu ya Magogoni kisha lipitishwe Ofisi zote za Chama na Serikali.

Nawaombeni mno Watanzania wenzangu tuendeleeni Kumuamini Mtu aliyeaminiwa pia na Mheshimiwa Rais wetu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba hakuna Jukumu la Kitaifa na la Kiserikali ambalo atapewa na atashindwa kwani ameshafanikisha mambo mengi tu. Na nashauri hata kama Mbunge Mkorofi kutoka nchini Kenya Jaguar nae ataleta Ukorofi mbele ya Watanzania basi namuomba sana Mheshimiwa Rais JPM kama ambavyo alimruhusu aende Kuipa nguvu Taifa Stars nchini Misri na kweli Timu yetu hiyo inaendelea vizuri na sasa imefikisha Alama ( Points ) zake 6 naomba pia amruhusu Makonda aende nchini Kenya ili akamalizane na Mbunge Matata Jaguar.

RC Makonda piga Kazi ama hakika Wewe ni Jemedari wa ukweli na upo juu. Asante kwa Ushindi wa Taifa Stars jana.
 
... alimhakikishia Rais kwamba wanaenda kushinda, Rais akamruhusu. Alipofika huko badala ya mikakati imara (japo ya muda mfupi) akaishia kupiga siasa za kigamba - oooh, taifa stars ni mali ya serikali hivyo inatekeleza ilani ya ccm. Mpira sio siasa wala blah blah bali mikakati kabambe kupitia brains zenye akili za kutosha. Ona sasa, kwa mikakati iliyojaa uchama badala ya utaifa hatimaye imeanzishwa CCM Stars rasmi!
 
Namuamini kabisa RC Makonda na kama ambavyo aliahidi juzi kuwa jana Tanzania ingeshinda dhidi ya Wakenya na imekuwa Kweli basi sasa namuomba sasa RC Makonda aendelee kubaki na Timu huko huko Misri ili tumfunge Mwarabu tutinge zetu 16 bora rasmi.
soma hapa ndugu..... Bashite kwishney!

1141020
 
Kila kitu kinawezekana kwa makonda nakubaliana na wewe

Kiongozi kuwa makini na Uzi unaweza ukadhani umeandikwa kama unavyotaka Kuulewa Wewe lakini kumbe ukakuta hapo kuna Ujumbe wa Kinafiki umepitishwa Kiaina kwa ama Mtu Mmoja Mnafiki au Yeye na Mnafiki mwenzie mwenye Dhamana ya Kikatiba na Tanzania yetu.
 
Namuamini kabisa RC Makonda na kama ambavyo aliahidi juzi kuwa jana Tanzania ingeshinda dhidi ya Wakenya na imekuwa Kweli basi sasa namuomba sasa RC Makonda aendelee kubaki na Timu huko huko Misri ili tumfunge Mwarabu tutinge zetu 16 bora rasmi na hadi tutachukua huu Ubingwa AFCON 2019.

Mimi naamini kabisa kwamba kwa Tanzania hii kuna Watu wawili tu ambao huwa hawashindwi Kitu na hadi leo kila walifanyalo linakuwa nao ni Rais JPM na Kipenzi chake Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Nina mifano michache tu ya Kuthibitisha kuwa Wawili hawa ambao wanashibana mno huwa hawashindwi jambo na mambo yao yote huwa wanayatekeleza bila Kukwama.

Kwa mfano Rais JPM alituambia kuwa iwe isiwe December mwaka Jana ( 2018 ) angekuwa ameshahamia Mkoani Dodoma ( Mji Mkuu ) na ni kweli kabisa hadi hivi sasa ameshahamia huko rasmi japo Usiku tu ndiyo huwa analilia Dar es Salaam ila asubuhi Kazi zake nyingi huwa anazifanyia Mkoani Dodoma. Nampongeza sana kwa hili.

Nikirudi kwa Swahiba wake na Mwanae Kipenzi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda nae pia Juzi akiwa anazungumza na Vyombo vya Habari akitokea nchini Misri alisema tena kwa Jeuri na Nyodo zake zote kuwa Timu ya Taifa Stars jana ingeifunga Harambee Stars ya Kenya na bahati nzuri ni kweli Tanzania imeshinda kwa nguvu za Makonda na sasa Makonda anapambana ili Tanzania imfunge pia Algeria Siku ya Jumatatu ili tutinge 16 bora na ikiwezekana tubebe na Kombe kabisa ili akaliwakilishe pale Ikulu ya Magogoni kisha lipitishwe Ofisi zote za Chama na Serikali.

Nawaombeni mno Watanzania wenzangu tuendeleeni Kumuamini Mtu aliyeaminiwa pia na Mheshimiwa Rais wetu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba hakuna Jukumu la Kitaifa na la Kiserikali ambalo atapewa na atashindwa kwani ameshafanikisha mambo mengi tu. Na nashauri hata kama Mbunge Mkorofi kutoka nchini Kenya Jaguar nae ataleta Ukorofi mbele ya Watanzania basi namuomba sana Mheshimiwa Rais JPM kama ambavyo alimruhusu aende Kuipa nguvu Taifa Stars nchini Misri na kweli Timu yetu hiyo inaendelea vizuri na sasa imefikisha Alama ( Points ) zake 6 naomba pia amruhusu Makonda aende nchini Kenya ili akamalizane na Mbunge Matata Jaguar.

RC Makonda piga Kazi ama hakika Wewe ni Jemedari wa ukweli na upo juu. Asante kwa Ushindi wa Taifa Stars jana.
Kama kupata mtoto tu ilibidi wachina wakamsaidie, kumfunga Algeria ni ndoto!
 
Back
Top Bottom