RC Makonda Yanga wapo Chalinze sasa, ila hawajaoga tokea Morogoro hivyo wanasubiri Ulale muda sii mrefu ndipo waingine Jijini Kwako

RC Makonda Yanga wapo Chalinze sasa, ila hawajaoga tokea Morogoro hivyo wanasubiri Ulale muda sii mrefu ndipo waingine Jijini Kwako

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ile Kauli yako kuwa ambaye anajua hajaoga au huwa haogi asithubutu kabisa Kuingia Mkoani Kwako Dar es Salaam imewaumiza mno Timu ya Yanga na Msafara wao kutoka Mkoani Morogoro kwani muda huu ninaoandika huu Uzi ni kwamba Msafara wa Yanga upo Chalinze ila wanaogopa Kwanza Kuingia Jijini mpaka Usinzie na Ulale kabisa kwakuwa hawajaoga na ule Mto waliokuwa wakiutumia Kuoga walipokuwa Kambini huko umejaa na Viboko pamoja na Mamba wameongezeka.

Kocha Wao Mwinyi Zahera ana Siku ya Nne sasa hajaoga huku Mchezaji wao mpya Bigirimana Yeye sasa ana Wiki ya Tatu Maji hayajui Mwilini mwake ila Nahodha wao mpya ShiShi Beibe Tshimbimbi sasa anamaliza Mwezi hajui Maji yapoje na yanaonekanaje huku Kipa wao Shikala Yeye akiwa na Utajiri wake wa Chawa aliotoka nao Kwao huko nchini Kenya.

Mkuu wa Mkoa nakuomba usilale hadi Yanga Waoge ndipo waingie Jijini kwani wakiingia watalinukisha mno Jiji lako hili zuri.
 
Back
Top Bottom