Tetesi: Rc Makonda

Hii post yako ni ndefu kushinda uzi ulioanzisha
 
Wasisifiwe kwa kufanya wajibu wao kwani waliwekwa hapo kufanya nini? Sisi waafrika ndio matatizo matupu tena ni mapumbavu na malofa majitu yanawekwa hapo kwa kodi zetu yanalipwa na kodi zetu wakifanya wajibu wao eti tunawasifu ndi sababu Trump akatuita shitcountries
 
Asante mkali, kila mtu anamazaifu yake hatuwezi kufungia macho mambo makuu ya Rc kwa kosa moja la vyeti feki, wako wengi wenye vyeti wameboronga sana
Umeona hilo tu? Kuvamia. Madawa. Kutukana watu. etc...
 
RC huyu ndo kasababisha nimchukie Rais.
 
Una ulokole gani pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…