Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Benno Malisa, kumtembelea mwananchi aliyefyekewa mahindi yake katika eneo la Iyunga jijini Mbeya na kuhakikisha aliyesababisha kufyekwa mahindi hayo analipa gharama ambazo mkulima huyo angepata
Pia soma Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka
Pia soma Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka