GE2025 RC Mbeya, Benno Malisa: Mnaondamana mjionye kwanza kabla ya kuonywa, vyombo vya ulinzi vipo imara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Benno Malisa amewataka wananchi wa mkoani hapo waliojiandaa kufanya vurugu zinazohamasishwa kwenye mitandao ya kijamii siku ya uchaguzi Mkuu Oktoba 29, 2025, wajionye kabla hawajaonywa na vyombo vya ulinzi na usalama

Malisa amesema hayo wakati akitoa tamko mahususi kwa wananchi, akiwa mbele ya waandishi wa habari la kuwataka wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kupiga kura ili waweze kutimiza haki yao ya msingi na kutokuwa na hofu kwani Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vimeimarisha usalama


Your browser is not able to display this video.
 
Mbona unahangaika nayo? Si mnasemaga watanzania hasa vijana ni waoga kuandamana sasa huo ujasiri ghafla wameupata wapi? kwa nini mnajihangaisha hivi ndugu waheshimiwa?
 
Wacha aongee utumbo tu tutaanzia na nyumbani kwake aendelee tu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…