RC Mhaville alianzisha "Operesheni Nguvu Kazi na Kodi ya Maendeleo" Dar es salaam, hapakukalika ile 1980s

Tunakumbushana tu kwa sababu haya mambo mengine ya hizi Kodi na Tozo siyo mapya ila tu wengi wenu humu Jf hamkuwepo duniani.

cc: Pascal Mayalla, mrangi

Ondoa ujinga. Mambo ya 1980 unayaleta leo?. Kisa kutetea tozo za kiwizi. Huwezi kumtoza mpangaji Kodi ya Jengo kila mwezi kupitia Luku na bado ukamtoza Tena mpangaji huyo huyo Kodi ya asilimia kumi ya pango ya nyumba aliyopanga. Anayetakiwa kulipa ni mpangishaji anayepata kipato kutokana na biashara ya kupangisha.
 
Unaijua maana ya Withholding tax?
 
Tunakumbushana tu kwa sababu haya mambo mengine ya hizi Kodi na Tozo siyo mapya ila tu wengi wenu humu Jf hamkuwepo duniani.

cc: Pascal Mayalla, mrangi
RC Mhavile hakuanzisha nguvu kazi bali alisimamia utekelezaji wake hapa Dar kama mkuu wa mkoa. Hii kitu nguvu kazi iliasisiwa na waqziri mkuu wa wakati ule aitwaye EDWARD MORINGE SOKOINE!!
 
Kuna watu wanaishi huko milimani
Na wazee wao ndiyo walianzisha maisha huko
Kwenye maongezi,ukiwauliza hivi mlikujajekujaje huku milimani na mkaanza ishi
Wanakuambia wakati wa kodi ya kichwa wazee wao walikimbilia huko
Wakaanzisha maisha,ndomana mpaka leo tuko huku

Ova
 
Back
Top Bottom