johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha....... Siku hizi gezaulole siyo shamba bwashee!Kodi Ije tu hiyo tena
Ova
Tutatafuta chaka jipya bwasheeeHahaha....... Siku hizi gezaulole siyo shamba bwashee!
Tunakumbushana tu kwa sababu haya mambo mengine ya hizi Kodi na Tozo siyo mapya ila tu wengi wenu humu Jf hamkuwepo duniani.
cc: Pascal Mayalla, mrangi
Unaijua maana ya Withholding tax?Ondoa ujinga. Mambo ya 1980 unayaleta leo?. Kisa kutetea tozo za kiwizi. Huwezi kumtoza mpangaji Kodi ya Jengo kila mwezi kupitia Luku na bado ukamtoza Tena mpangaji huyo huyo Kodi ya asilimia kumi ya pango ya nyumba aliyopanga. Anayetakiwa kulipa ni mpangishaji anayepata kipato kutokana na biashara ya kupangisha.
RC Mhavile hakuanzisha nguvu kazi bali alisimamia utekelezaji wake hapa Dar kama mkuu wa mkoa. Hii kitu nguvu kazi iliasisiwa na waqziri mkuu wa wakati ule aitwaye EDWARD MORINGE SOKOINE!!Tunakumbushana tu kwa sababu haya mambo mengine ya hizi Kodi na Tozo siyo mapya ila tu wengi wenu humu Jf hamkuwepo duniani.
cc: Pascal Mayalla, mrangi
HayaRC Mhavile hakuanzisha nguvu kazi bali alisimamia utekelezaji wake hapa Dar kama mkuu wa mkoa. Hii kitu nguvu kazi iliasisiwa na waqziri mkuu wa wakati ule aitwaye EDWARD MORINGE SOKOINE!!