Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Masipota/Tareirota kwenu nyote!
Wadau Kuna Clip inaonesha RC wa Mkoa wa Manyara ndugu Mnyeti akisema ni ujinga na upumbavu kuwashuku kuwa watoa misaada majimboni kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wana harufu ya kujitakirimisha.
Hivi karibuni tumeshudia TAKUKURU wakiwa bize na wenye harufu ya kujitakirimisha majimboni na chama tawala CCM wakitoa onyo kali kuhusu fitina majimboni. Je, timing ya kauli hii haiwezi kuleta mtafaruku na kufifisha utendaji kazi wa TAKUKURU ?