Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Amejidharau sana, mtu kahenyea uhandisi halafu anajiita local fundi.Sasa Kama boss wake anamdharau na kumdhalilisha na kumshusha vyeo,wakati yeye ni mtaalamu,afanyaje?
Pitisha kombe mwanaharamu apite🙏
Arudishe ERB ,vyeti vya kumtambua kama Engineer, ili halmashari zimtambue kama fundi Maiko.Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.
Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita
Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.
Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Hivi, ilikuwa lazima ajiite local fundi ili apate kazi hizo kujenga matofali?Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.
Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita
Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.
Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Unajua maana ya Local? Au Ulitaka ajiiteje wewe ili roho yako ifurahi?Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.
Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita
Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.
Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Lengo lako ni kumdhalilisha lakini umekosea na hujui lolote.Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.
Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita
Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya JPM na Awamu ya Sita chini ya SSH.
Eng Robert Gabriel amefedhehesha fani ya uhandisi, na ninategemea Bodi y Usajili wa Wahandisi, ERB( Engineers Registration Board), iitishe usajili wake.
Soma post #10Unajua maana ya Local? Au Ulitaka ajiiteje wewe ili roho yako ifurahi?
Mashariti ya kazi, utabaki na unjinia wako lakini utapewa kazi kama local fundi, ndivyo mikataba ilivyoHivi, ilikuwa lazima ajiite local fundi ili apate kazi hizo kujenga matofali?
Soma post #10Sasa Kama boss wake anamdharau na kumdhalilisha na kumshusha vyeo,wakati yeye ni mtaalamu,afanyaje?
Pitisha kombe mwanaharamu apite🙏
Mnachangia bila utafiti soma post #10Kama Robert Gabriel ni mwana CCM Basi potezea tu hao watu akili zao wanazijua wanakoweka.
Halafu ukakubali?Mashariti ya kazi, utabaki na unjinia wako lakini utapewa kazi kama local fundi, ndivyo mikataba ilivyo
Kusifia ujinga hapo sasa unaingia level ya upumbavu.Lengo lako ni kumdhalilisha lakini umekosea na hujui lolote.
Sasa hivi miradi yote ya serikali Tamisemi wanaajiriwa local fundi tu kwa kutumia force account.
Hii wanakwepa gharama za kampuni na utaratibu huu aliuanzisha Magufuli.
Serikali inatoa consultants wa mradi kwa ajili ya kusimania na wanakuja na michoro inayoandaliwa na vyuo vya ufundi mfano ATC.
Miradi hii inapesa japo waalimu, maboharia na consultants ndio wanapiga pesa ndefu kuliko walioshinda tenda.
Hivyo hizo kazi zinaombwa na mainjinia na mafundi wa kawaida lakini kisheria na mikataba itakutambua kama local fundi tu haijalishi una elimu kiasi gani
Hivyo unapoomba kazi japo utaambatanisha vyeti vyako vya uinjinia lakini utahesabiwa local fundi.
Unataka afe na njaa kisa injinia?
Tusisahsu ukwepaji kodi.Hivi, ilikuwa lazima ajiite local fundi ili apate kazi hizo kujenga matofali?
Point kubwa.Tusisahsu ukwepaji kodi.
Local fundi hana payroll, hivyo halipi PAYEE, NSSF, WCF,Workers Insurance na hata Skills Levy.
WAsukuma hamuishi vituko.Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi.