the guardian 17
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 395
- 570
Amesema kuwa ameona taarifa ya jeshi la polisi kuhusu kutekwa kwa Katibu huyo,
Soma: Pre GE2025 - Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
"Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na kupitia mkutano huu nimuagize kamanda wa jeshi la polisi. Nimeiona taarifa ambayo jeshi la polisi wameitoa leo, kwanza kabisa niwahakikishieni serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia na mimi nikiwa mkuu wa mkoa wa Mwanza hatuna lengo la kumteka mtu yeyote yule awe CHADEMA, awe mfanyabiashara kwa sababu hatuna ugomvi na mtu yeyote."
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Soma: Polisi Mwanza: Tunachunguza tukio la kutekwa kwa Katibu wa Bavicha Mwanza