"Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na kupitia mkutano huu nimuagize kamanda wa jeshi la polisi. Nimeiona taarifa ambayo jeshi la polisi wameitoa leo, kwanza kabisa niwahakikishieni serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia na mimi nikiwa mkuu wa mkoa wa Mwanza hatuna lengo la kumteka mtu yeyote yule awe CHADEMA, awe mfanyabiashara kwa sababu hatuna ugomvi na mtu yeyote."
"Nitaliita jeshi la polisi ambalo lina dhamana ya kuilinda amani, usalama na kupitia mkutano huu nimuagize kamanda wa jeshi la polisi. Nimeiona taarifa ambayo jeshi la polisi wameitoa leo, kwanza kabisa niwahakikishieni serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia na mimi nikiwa mkuu wa mkoa wa Mwanza hatuna lengo la kumteka mtu yeyote yule awe CHADEMA, awe mfanyabiashara kwa sababu hatuna ugomvi na mtu yeyote." View attachment 3240764
Soma: Polisi Mwanza: Tunachunguza tukio la kutekwa kwa Katibu wa Bavicha Mwanza
Angalau ameongea vizuri sana kwa hekima , utulivu, na kwa kutambua nafasi yake kama, mlezi, mlinzi, kiongozi, mfariji Mkuu wa mkoa wa Mwanza, hongera sana bwana Said Mtanda β β β