RC Mtwara: Waganga wa jadi wanaoweza kutibu mfumo wa upumuaji wajitokeze wasajiliwe

Waganga gani tena jamn si tulikubalian kusali pamoja na kufunga usiku na mchana
 
Daaah awamu hii utafikiria wodi ya vichaa mirembe,kila mmoja ni kuropoka aonekane yupo busy kuunga juhudi za mwanasayansi feki wa burigi
 
Wapo watalaam wa tiba za asili hapa nchini Ila chademra wao wanaisubiria WHO
 
Yeye alivyopata changamoto za kupumua alitumia hizo dawa anazoitisha waganga wa kienyeji wazipeleke?

Mbona hakumuambia msaidizi wake Liwowa azitumie na badala yake alifia Hospitali ya Ndanda?

Kikubwa amshukuru MUNGU kwa kumponya na maradhi ya kupumua, na ingekuwa anaamini sana hayo majani ya kienyeji na mitishamba asingeomba rufaa apelekwe Muhimbili ila angekaa pale kwake na hao waganga.

Hivi viongozi wetu mna nini nyie? Wakati ninyi mkipona Hospitali kwa kutumia tiba za mnaowaita mabeberu, sisi wananchi mnataka tufe kwa waganga wa kienyeji?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
kwani dawa za nimr hazitoshi au nyungu limedunda kwa hili dubwasha a.k.a pneumonia
 
Daaah awamu hii utafikiria wodi ya vichaa mirembe,kila mmoja ni kuropoka aonekane yupo busy kuunga juhudi za mwanasayansi feki wa burigi
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ Sijaelewa ulichomaanisha
 
Hivi viongozi wetu mna nini nyie? Wakati ninyi mkipona Hospitali kwa kutumia tiba za mnaowaita mabeberu, sisi wananchi mnataka tufe kwa waganga wa kienyeji?
Akili kichwani sasa na za kuambiwa changanya na za dame wako.

Ukimuona mtu kama Magufuli havai mask kwenye public usifuate mkumbo kikondoo maana hujui yeye kamywa nini asubuhi au lini alichomwa chanjo ukikumbuka kwamba alipata ugeni wa wachina kule kwake Chato mwezi uliopita
 
Hili ni taifa la ajabu kabisa ambalo haliamini science linaamini ushirikina, corona iligunduliwa na waganga wa kienyeji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…