RC Mwassa: Itakuwa aibu iwapo Bwawa la Nyerere litakamilika halafu lishindwe kuzalisha Umeme kwa sababu ya kukosa Maji

RC Mwassa: Itakuwa aibu iwapo Bwawa la Nyerere litakamilika halafu lishindwe kuzalisha Umeme kwa sababu ya kukosa Maji

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro mh Fatma Mwassa amesema itakuwa ni aibu endapo Bwawa la Nyerere litakamilika halafu lishindwe kuzalisha Umeme kwa sababu ya ukosefu wa Maji.

Mh Mwassa amewataka Wananchi kulinda na kutunza Vyanzo vya Maji hasa nyakati hizi za Mabadiliko ya Tabia nchi.

Source: ITV Habari
 
Kwamba anajaribu kutuaminisha kuwa CCM ni Chama kisicho na MAONO?

Mshauri anyamaze kuficha aibu.
 
Mtwara gas wamepekeka wapi Tena? Hadi tunaanza kuwa na akina Kalumanzila!
 
Back
Top Bottom