LGE2024 RC Njombe awaongoza Wananchi kujiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

LGE2024 RC Njombe awaongoza Wananchi kujiandikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610

1728657892784.png

Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka ni miongoni mwa wakazi wa Mtaa wa Lunyanywi, Halmashauri ya Mji Njombe waliojitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024.

Zoezi la kujiandikisha linazinduliwa leo Oktoba 11, 2024 na Rais Samia Suluhu Hassan huko Chamwino mkoani Dodoma na linafanyika nchi nzima.
 
Back
Top Bottom