RC Said Mtanda wa Mwanza hastahili kuwa kiongozi wa umma kwa kutaka kuzima kesi ya Binti Tumsiime anayedai kulawitiwa na Dkt. Nawanda

Huyo binti ni malaya toka zamani.Huko mpanda kuna mtu kafungwa miaka mitano kisa huyo binti.Ni kamalaya malaya toka zamani.Nendeni mpanda Girl's alikosoma mtazipata taarifa zake...

Sasa hivi kamejificha Dar es Salaam,lakini pia huyo binti hana Baba ana mama yake tu...Mama yake ni muuza Cake.
Hata wenzake aliosoma nao wanasema ni Malaya toka zamani.Na hata hicho kilichotokea kwake inawezekana sio mara ya kwanza.Anavuna umalaya wa zamani.
Huyo binti ni malaya tu.Pole kwa familia ya Nawanda na wengineo wote.Tuwe na uchaguzi wa watu wa kutembea nao.Hawa watoto wa 2000 sio.Na nyie watu wazima mnaotoa hela kwa hao watoto acheni waishi kwa kuwategemea wazazi wao...

Changamoto ya nchi hii haya mambo yakitokea mwanamke analindwa ilhali ana makosa.
 
Tatizo binti hajui kujieleza. Miaka 21 anaongea kama mtoto wa miaka 7.
 
Hatujajua plans zake
Huyu ana plans kwakwel yawezekana anataka umaarufu ..au ni wale mabinti wanaochukia wanaume psychologically labda baba aliwatenda, sasa Binti kama huyu akikosewa na mwanaume Huwa ana deal na ww haijalishi mwanaume ana cheo gani , atamtikisa Hadi ashangae kwanza Hadi sasa rc haamini kinachoendelea hakutegemea
 
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa simiyu Dr. Nawanda anatuhumiwa kwa kumlawiti Binti mmoja aliyekuwa mwanafunzi wa SAUT ( nasema alikuwa kwasababu nasikia amesitisha masomo).
Kwa nafasi ya kimamlaka na hadhi ya cheo hicho ni fedheha kwa mhusika lakini ni fedheha kubwa mno kwa serikali hasa mamlaka ya uteuzi.
Mimi nilitarajia mamlaka ya uteuzi ingesimama kidete kuhakikisha hatua kali zinachukuliwa kwa huyu shetani na si kuushia kutengua tu.
Mimi nimesikitika pale nilipomuona yule Binti analalamika kuwa lile sakata linataka kuzimwa Tena akimtaja mkuu wa mkoa wa mwanza kwa jina la mtanda kwamba ndiye kinara wa kuzima sakata hili. Wewe mkuu wa mkoa wa mwanza unavaa kanzu ya Nini Kama unatetea walawiti? Nani unamuongoza mwanza wakati huna maadili? Unaenda msikitini kufanya Nini wakati una maadili ya kishetani? Hufai kufanya hiyo kazi na ulipaswa kuondolewa mara Moja.
Wewe uliyemteua Nawanda na mtanda jiulize kama angefanyiwa Ndugu yako wa karibu ungejisikia vipi? Je serikali ya sasa inalea walawiti? Kwanini sakata hili linataka kuzimwa Hadi Binti analalamika hadharani?
Je ni kweli ninyi ni viongozi au genge la wahalifu? Kwanini mnashindwa kutetea wananchi wasiokuwa na sauti?
Najiuliza kama Nawanda angefanya haya Enzi za Rais Magufuli ingekuwa vipi?
Kazi kwenu viongozi. Ukweli ni kwamba kitendo cha mkuu wa mkoa kutuhumiwa kwa kulawiti ni aibu kwa serikali hii.
 
Bado zitaendelea kuwa Ni tuhuma tu mpaka pale itakapothibitishwa na mahakama.

Any defendant in a criminal trial is assumed to be innocent until they have been proven guilty.

As such, a prosecutor is required to prove beyond a reasonable doubt that the person committed the crime if that person is to be convicted
 
.....Uteuzi usiozingatia vigezo, uteuzi wa kukurupuka, na mmomonyoko wa maadili. Nothing more.
 
True but sidhani kama Binti ni Chizi. Tufike mahali tuwe na utu. Angekuwa mtu wa kawaida saa hz anaongelea Segerea. Binadamu wote siyo sawa mbele ya Sheria au?
 
Siyo rahisi hivyo. Siyo formula kwamba Kwa vile alibakwa Sasa ni ruksa kubakwa maisha yake yote. Si kigezo kwamba Kwa vile alibakwa akiwa Mtoto eti Sasa alawitiwe kabisa. Akili gani za kipuuzi hizi mnajaribu kupotosha? Mtanda awajibike Kwa kujaribu kuharibu kesi. Angekuwa binti yako ungekuja na huu utetezi mwepesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…