Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Said Mtanda ni Kiongozi makini sana.Mkuu wa mkoa wa mwanza SAID MTANDA amesema amevumilia vya kutosha kuhusu tuhuma zinazosemwa na binti aliyelawitiwa TUMSIME kwamba yeye alihusika kutaka kesi hiyo ifutwe ?ameenda mbali kwa kusema yeye anaviachia kazi vyombo vya uchunguzi vifanye kazi kuona kama yeye amehusika na sakata Hilo , cha kujiuliza NI kwamba yeye NI mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na USALAAMA mkoa sasa vyombo vinawezaje kufanya kazi akiwa yeye yupo ofisini na NI mwenyekiti wa vyombo hivyo ? Hivi MTANDA anaona watanzania wa sasa hawana Uelewa hadi anatamka maneno hayo kwenye media ! Hata raisi anamshangaa yeye kuongea maneno hayo
Duh! Kwa hiyo, tuseme kuna uzembe wa kumchukulia hatua za kisheria Mtuhumiwa?Unataka UCHUNGUZ Gani ufanyike na alishapelekwa hospital na akatibiwa na akaandikiwa dawa?? Polisi walimpeleka hospital... Report ya doctor unasemaje?? CCTV footages je?
Utawapata wapi huku wengi ni 'CHAWA'?Tanzania inahitaji GEN Z 100× kuliko kenya.
Kuwa mpenzi ndio inahalalisha kumfira hata kama kuna ridhaa, je ndio sheria zinavyotaka?Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.
Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.
Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).
RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.
Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.
Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.
Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.
Aione mama yetu Dkt. Gwajima D
Pia soma
Hapa nasikiliza video ya Binti Tumsiime anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Nawanda. Binti ameelezea kwa kina sakata zima la kulawitiwa, mpaka msukumo mzima wa kutaka kuzima kesi.
Binti Tumsiime ameelezea kuwa baada ya kufanyiwa kitendo kile, aliripoti kituo cha polisi kwa hatua za kisheria zaidi. Wakati akiwa na Polisi wakifanya uchunguzi na kukusanya ushahidi, ghafla alitafutwa na RC Mtanda ambaye alitaka waonane ofisini kwake, binti anadai alikataa na kusema yupo na polisi lakini RC Mtanda alitumia mamlaka yake na hatimaye kuonana na binti huyo.
Binti anadai baada ya kufika Ofisini kwa Mtanda, RC huyo alimsihi suala hilo aliondoe polisi ili limalizwe kifamilia ila binti aliamua kukaza. Anadai kuwa akiwa ofisini RC Mtanda aliongea kilugha na Dkt. Nawanda (nadhani kimakonde).
RC Mtanda aliwaita Polisi waliokuja na binti huyo na kuwaambia ameshaongea na Binti na kesho wampokee vizuri anakuja kufuta kesi. Binti hakufanya hivyo kama alivyotakiwa kufanya na RC Mtanda.
Kwa mujibu wa binti huyo, RC Mtanda aliendelea kuinjinia mpango mzima wa kuzima sakata ikiwa ni pamoja na kushiriki kumwandikisha barua feki ya kufuta kesi, kumshawishi mama mzazi wa binti nk nk.
Hoja yangu hapa; RC Mtanda kama kiongozi wa umma alipaswa kuwa mstari wa mbele kuheshimu na kusimamia sheria, badala yake anatumia mamlaka ambayo tumempatia kutaka kudhulumu haki ya Tumsiime.
Rais Samia, Watanzania hatutakuelewa endapo RC Mtanda ataendelea kuwa Mkuu wa mkoa, amekosa sifa za kuwa mfano wa kuigwa.
Aione mama yetu Dkt. Gwajima D
Pia soma
tuweke umri unaofaa kuteuliwa na rais kwa mtumishi wa umma .maana sasa vijana wanaaibisha waliyowateua.hizi nafasi wapewe wenye umri angalau miaka 50.Hapana si mshenzi bali pesa za walipa kodi sie masikini zinatumika vibaya kwenda kulawitia watoto.Imagine libaba lote lile linaenda kumsokomeza mtoto nyuma!? Hata ingekuwa ni mbele haifai kwa utofauti wa age,status na morals alizonazo kiongozi tena mteule wa rais.
Ila ccm!hakika imejua kuwatumia watanzania!
Tanzania inahitaji GEN Z 100× kuliko kenya.
inaweza ikawa hakuna kesi lakini bado unakuwa umemchafua aliyekuteua hasa kipindi tunapoelekea uchaguzi mkuu.Hakuna kesi hapo ujinga tu na kukosa kazi za kufanya
mwanafunzi wa chuo kikuu ni mtu mzima ,anaruhusiwa kuwa na mpenzi au kuolewa kabisa.kwa hiyo usimtukane hivyo.Binti naye ni Kilanga, malaya, msimbe, dada poa and the like.
Alikuwa mzinzi na msherati na huyo RC siku nyingi. To me, Yote kwa yote acha amlawiti!
She was supposed to be a good student, sasa anahangaika na wanaume anategemea nini?
Hao wote ni wafiraji, mavi matupu hapo.Saidi anampambania Yahaya
Hakuna 'complication' yoyote madamu mtuhumiwa anamtambua mlalamikaji na kwamba katika husika alikuwa naye na baada ya msichana huyo kulalamika na kupimwa hospitali amebainika kuchubuliwa na kitu kilichoingizwa sehemu za siri kwa nguvu katika pande zote mbele na nyuma. Mlalamikaji alitishwa na ameeleza takwa la mtuhumiwa alianza kumshawishi muda mrefu ikafikia hatua wakakwaruzana na mahusiano yakatetereka.Kama binti alikuwa na mahusiano ya hiari na muhusika kesi itakuwa complicated sana .
Tatizo Baadhi ya mabinti wanaendekeza starehe na kusahau wazazi wao walihangaika kuwasomesha matokeo yake ndiyo hio Habari ya tusiime
Ushoga nahusisha watu wa jinsia moja,hawa ni mtu mke a mtu mmeHivi ulawiti si ndiyo tabia za kishoga hizo? Mbona hawa wateule wa rais Samia wanaonekana ndiyo wenye kufanya na kutetea vitendo hivyo?
Hii nchi ina unafiki mwingi sana. Rais achukue hatua kwa viongozi wa namna hii
Kwa hiyo ufiraji siyo tabia za kishoga?Ushoga nahusisha watu wa jinsia moja,hawa ni mtu mke a mtu mme
Namhurimia Nawanda na best ake mmakonde mwenzie.wilbod mtafungwa huyo amenyooka hatari na hababaishwi na mtu