Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 5,383 Reaction score 18,776 Mar 27, 2025 #1 Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Agizo hilo limetolewa alipofanya ziara katika zahanati hiyo, ambayo ujenzi wake ulianza Septemba 2022 kwa nguvu za wananchi. Your browser is not able to display this video.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga, ameagiza Zahanati ya Kijiji cha Muungano, Kata ya Laghanga, kuanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo Aprili 30, 2025. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Agizo hilo limetolewa alipofanya ziara katika zahanati hiyo, ambayo ujenzi wake ulianza Septemba 2022 kwa nguvu za wananchi. Your browser is not able to display this video.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,459 Reaction score 100,799 Mar 27, 2025 #2 Maujinga mengine haya hapa
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,846 Reaction score 16,713 Mar 27, 2025 #3 Nchi Ina vitu vya ajabu sana
popomwitu JF-Expert Member Joined Aug 11, 2022 Posts 261 Reaction score 613 Mar 27, 2025 #4 Tangu September 2022?, mwaka huu ndio wamegundua Kuna zahanati hapo Laghanga ambayo haijaanza kufanya kazi?
Tangu September 2022?, mwaka huu ndio wamegundua Kuna zahanati hapo Laghanga ambayo haijaanza kufanya kazi?