RC Shinyanga aonya Wanawake Mikopo ya kausha damu

RC Shinyanga aonya Wanawake Mikopo ya kausha damu

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha amewaonya wanawake wa Wilaya ya Msalala kukopa mikopo ya kausha damu badala yake ya asilimia 10 inayotolewa na halmashauri kwa wanawake, vijana na watu wenye walemavu.

Macha ameyasema hayo katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kimkoa yamefanyika leo Alhamisi Machi 6, 2025 kwenye Kata ya Bugarama, Halmashauri ya Wilaya ya Msalala.

Soma Pia: DAS Kahama: Wanawake acheni mikopo ya kausha damu chukueni mikopo ya Samia


"Hapa niwatake wanawake kuchangamkia fursa za mikopo isiyo na riba inayotolewa na halmashauri ikiwa na lengo la kuwainua kiuchumi kuliko kukimbilia mikopo ya kausha damu inayotolewa kwa masharti magumu pamoja na riba kubwa inayowadidimiza kiuchumi,"amesema Macha.

Screenshot 2025-03-06 215954.png
 
Back
Top Bottom