Pre GE2025 RC Simiyu akabidhi mradi wa ujenzi wa daraja la milioni 757 kwa mkandarasi na kuagiza ukamilike kwa muda na ubora

Pre GE2025 RC Simiyu akabidhi mradi wa ujenzi wa daraja la milioni 757 kwa mkandarasi na kuagiza ukamilike kwa muda na ubora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi akimueleza Meneja wa Tanroad Mkoa wa Simiyu Kusimamia Mradi na ukamilike kwa muda na kuzingatia Viwango na Ubora wa Mradi huo.

Pia Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani, akiwaasa Wananchi kutunza na kulinda Mradi huo kwani ni Mali yao,Pia amewasisitiza kizidi kushirikiana na Serikali katika kuleta Maendeleo katika Mkoa wa Simiyu.

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kihongosi amemshukuru Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha nyingi za miradi ya Maemdeleo Mkoani Simiyu

Mkuu wa Mkoa amesema hatosita kuchukua hatua endapo kutakuwa na uzembe na ucheleweshwaji wa Mradi huo.

 
Back
Top Bottom