LGE2024 RC Singida aagiza wafuasi 13 wa CHADEMA akiwemo Diwani wakamatwe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, RC. Dendego amesema tukio limetokea Novemba 10 mwaka huu saa moja jioni, ambapo watu hao walikuwa wakimlazimisha mtendaji huyo kutoa nyaraka za serikali.

Chanzo: Azam TV
 
Dhulma ikitendeka ndio athari yake hii..kikubwa ni kutenda haki ili siku ya hesabu uhesabiwe vizuri vyenginevyo siku ya kiama ni siku ya kila mtu kupewa haki yake alieporwa hapa duniani
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, RC. Dendego amesema tukio limetokea Novemba 10 mwaka huu saa moja jioni, ambapo watu hao walikuwa wakimlazimisha mtendaji huyo kutoa nyaraka za serikali.

Chanzo: Azam TV
Kiburi cha madaraka......mkumbusheni hata Mafuru ameviacha vyote
 
kuna wakatitrump alitoa maagizo kwa jeshi la USA kuhusu maandamano yaliyosababishwa na kifo george floyd na jeshi likamjibu hivi
“We are unique among militaries. We do not take an oath to a king or a queen, a tyrant or a dictator. We do not take an oath to an individual. We take an oath to the Constitution.”
kiswahili
"Sisi ni wa kipekee miongoni mwa majeshi. Hatuapi kwa mfalme au malkia, mnyang'anyi au dikteta. Hatuapi kwa mtu binafsi. Tunaapa kwa Katiba".
""
 
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, RC. Dendego amesema tukio limetokea Novemba 10 mwaka huu saa moja jioni, ambapo watu hao walikuwa wakimlazimisha mtendaji huyo kutoa nyaraka za serikali.

Chanzo: Azam TV
Andika vizuri.
Unakurupuka tu.
 
Upumbavu mtupu
 
Hao wamekosea wangemmwagia petrol na kutia kiberiti ingekuwa funzo kwa wote,wakiuwawa watendaji kama 50 hivi huu usengerema usingekaa kujirudia tena.
Mtendaji mwenyewe kutwa anaandika mabarua kwa mkono hata ka pc ka laki 5hana. Serikali imeshindwa kumpatia kisha anasupaza shingo akijidai nae ni tabaka tawala. Halmashauri kumejaa miukule
 
Kwanini police wasitimize wajibu bila kuagizwa na RC?🐼
Mkuu wa mkoa anataka kumfurahisha
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Wakuu,

Kikiwa ni chama kingine fasta wanakamatwa, ila wa kwao utasikia wanasema ni vijana tu unajua huwa wanakosea, tunakemea walichofanya! Tuone na wale waliodakwa kwenye picha wakijaribu kumteka 'bonge' itachukua siku ngapi kupata majina yao na kuwakamata!

===

Back
Top Bottom