JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Dhulma ikitendeka ndio athari yake hii..kikubwa ni kutenda haki ili siku ya hesabu uhesabiwe vizuri vyenginevyo siku ya kiama ni siku ya kila mtu kupewa haki yake alieporwa hapa dunianiMkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, RC. Dendego amesema tukio limetokea Novemba 10 mwaka huu saa moja jioni, ambapo watu hao walikuwa wakimlazimisha mtendaji huyo kutoa nyaraka za serikali.
Chanzo: Azam TV
Kiburi cha madaraka......mkumbusheni hata Mafuru ameviacha vyoteMkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, RC. Dendego amesema tukio limetokea Novemba 10 mwaka huu saa moja jioni, ambapo watu hao walikuwa wakimlazimisha mtendaji huyo kutoa nyaraka za serikali.
Chanzo: Azam TV
Hahaha......hapo sasaKwanini police wasitimize wajibu bila kuagizwa na RC?🐼
Andika vizuri.Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, RC. Dendego amesema tukio limetokea Novemba 10 mwaka huu saa moja jioni, ambapo watu hao walikuwa wakimlazimisha mtendaji huyo kutoa nyaraka za serikali.
Chanzo: Azam TV
Upumbavu mtupuMkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki kwa tuhuma za kumshambulia Mtendaji wa Kata ya Ntewa A, Ramadhani Nyengo.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake, RC. Dendego amesema tukio limetokea Novemba 10 mwaka huu saa moja jioni, ambapo watu hao walikuwa wakimlazimisha mtendaji huyo kutoa nyaraka za serikali.
Chanzo: Azam TV
Mtendaji mwenyewe kutwa anaandika mabarua kwa mkono hata ka pc ka laki 5hana. Serikali imeshindwa kumpatia kisha anasupaza shingo akijidai nae ni tabaka tawala. Halmashauri kumejaa miukuleHao wamekosea wangemmwagia petrol na kutia kiberiti ingekuwa funzo kwa wote,wakiuwawa watendaji kama 50 hivi huu usengerema usingekaa kujirudia tena.
RC ndio aliyemuaguza huyo mtendaji kuhatibu uchaguzi.Kwanini police wasitimize wajibu bila kuagizwa na RC?🐼
Huyo diwani ni wa chama gani
Mkuu wa mkoa anataka kumfurahishaKwanini police wasitimize wajibu bila kuagizwa na RC?🐼
Hapo ndipo uongozi wa siku hizi unaponichanganya. Hiyo ni police case na ni wajibu wao .Kwanini police wasitimize wajibu bila kuagizwa na RC?🐼