Mwenyezi mungu alivyomuumba mwanadamu,aligawa na majukumu,ya mwanamke na pia ya mwanaume,mwanamke hawezi ya mwanaume na pia mwanaume hawezi ya mwanamke,nashangaa Sana kuwaona wanawake,kazi ngumu wanavyozipigania,Kama maroli hata ndege wanaendesha,na sisi wanaume tufanye kazi gani,wanajiumiza wenyewe